Kikabardia
Mandhari
Kikabardia ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi, Uturuki, Syria, Iraq na Yordani inayozungumzwa na Wakabardia. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikabardia nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 516,000. Pia mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji milioni moja nchini Uturuki, 56,000 nchini Yordani na 39,000 nchini Syria. Idadi ya wasemaji nchini Iraq haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikabardia iko katika kundi la Kicircassi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikabardia kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikabardia Ilihifadhiwa 7 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikabardia katika Glottolog
- lugha ya Kikabardia kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikabardia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |