Kidargwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidargwa ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wadargwa. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kidargwa imehesabiwa kuwa watu 486,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidargwa iko katika kundi la Kidargi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidargwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.