Nenda kwa yaliyomo

Kichamalal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichamalal ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wachamalal. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kichamalal imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichamalal iko katika kundi la Kiandiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichamalal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.