Kidolgan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidolgan ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wadolgan. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kidolgan imehesabiwa kuwa watu 1050. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidolgan iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidolgan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.