Kibashkiri
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kibashkort)
Kibashkiri ni lugha ya Kiturki nchini Urusi na Kazakhstan inayozungumzwa na Wabashkiri. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kibashkiri nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 1,150,000. Pia kuna wasemaji 3670 nchini Ukraine, na idadi ya wasemaji nchini Kazakhstan haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibashkiri iko katika kundi la Kiurali.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibashkiri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibashkiri Ilihifadhiwa 15 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibashkiri katika Glottolog
- lugha ya Kibashkiri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibashkiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |