Kiudihe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiudihe (au Kiudege) ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi inayozungumzwa na Waudihe. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiudihe imehesabiwa kuwa watu 100 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiudihe iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiudihe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.