Kikamas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikamas ni lugha ya Kiurali nchini Urusi iliyozungumzwa na Wakamas. Mwaka wa 1989 msemaji wa mwisho wa Kikamas alifariki, yaani lugha imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamas iko katika kundi la Kisamoyedi ya Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikamas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.