Kiavar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiavar ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi, Azerbaijan na Georgia inayozungumzwa na Waavar. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiavar nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 715,000. Pia kuna wasemaji 46,600 nchini Azerbaijan (2011) na 2000 nchini Georgia (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiavar iko katika kundi la Kiandiki-Avar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiavar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.