Nenda kwa yaliyomo

Kigilyak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya makazi ya Nivkh

Kigilyak (au Kinivkh) ni lugha nchini Urusi inayozungumzwa na Wagilyak. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kigilyak imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigilyak hailingani na lugha nyingine yoyote.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigilyak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.