Kighodoberi
Mandhari
Kighodoberi ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Waghodoberi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kighodoberi imehesabiwa kuwa watu 130 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kighodoberi iko katika kundi la Kiandiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kighodoberi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kighodoberi Archived 10 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kighodoberi katika Glottolog
- lugha ya Kighodoberi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kighodoberi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |