Kierzya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kierzya ni lugha ya Kiurali nchini Urusi inayozungumzwa na Waerzya. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kierzya imehesabiwa kuwa watu 36,700. Pia kuna wasemaji 500 nchini Armenia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kierzya iko katika kundi la Kimordvin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kierzya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.