Kibezhta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibezhta ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi na Georgia inayozungumzwa na Wabezhta. Mwaka wa 2010 idadi ya wazungumzaji wa Kibezhta nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 6100. Pia kuna wasemaji 700 nchini Georgia (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibezhta iko katika kundi la Kitseziki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibezhta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.