Kilak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilak ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Walak. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kilak imehesabiwa kuwa watu 146,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilak iko katika kundi lake lenyewe la Kilak.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.