Kiingush

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Serdalo.png
Gazeti la Serdalo

Kiingush ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi na Kazakhstan inayozungumzwa na Waingush. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiingush nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 306,000. Pia kuna wasemaji 16,900 nchini Kazakhstan (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiingush iko katika kundi la Kinakh.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiingush kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.