Kialtai ya Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kialtai za Kaskazini ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Waaltai. Ni tofauti na lahaja za Kialtai ya Kusini. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa lugha hizo mbili za Kialtaii imehesabiwa kuwa watu 57,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialtai za Kaskazini iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialtai ya Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.