25 Oktoba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Oktoba 25)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Oktoba ni siku ya 298 ya mwaka (ya 299 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 67.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1187 - Uchaguzi wa Papa Gregori VIII
- 1241 - Uchaguzi wa Papa Celestino IV
- 1971 - Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa unaamua kuwa Jamhuri ya Watu wa China ndiyo mwakilishi halisi wa China kwenye UM, hivyo Jamhuri ya China inafukuzwa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1800 - Jacques Paul Migne, padre Mkatoliki kutoka Ufaransa
- 1838 - Georges Bizet, mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
- 1881 - Pablo Picasso, mchoraji kutoka Hispania
- 1913 - Klaus Barbie, mwanajeshi wa SS ya Adolf Hitler
- 1914 - John Berryman, mshairi kutoka Marekani
- 1941 - Anne Tyler, mwandishi kutoka Marekani
- 1948 - Tarcisius Ngalalekumtwa, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1951 - Ingeborg Schwenzer, mwanasheria kutoka Ujerumani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 625 - Papa Boniface V
- 1400 - Geoffrey Chaucer, mwandishi na mwanafalsafa Mwingereza
- 1967 - Margaret Ayer Barnes, mwandishi kutoka Marekani
- 1973 - Abebe Bikila, mwanariadha wa mbio ya Marathon kutoka Uhabeshi
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Krisanto na Daria, Krispini na Krispiniani, Miniato wa Firenze, Fronti wa Perigueux, Martiri na Marsiano, Gaudensi wa Brescia, Hilari wa Mende, Fruto, Mauro wa Pecs, Bernardo Calbo n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 12 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |