Naishero
Mandhari
Naishero ni mto wa msimu, umepita maeneo ya Wilaya ya Nanyumbu na Masasi.
Nje kidogo ya mji wa Mangaka humwaga maji katika Mto Ruvuma.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Naishero kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |