Mto Nyangombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Nyangombe ni kati ya mito ya mkoa wa Shinyanga (Tanzania Kaskazini-Magharibi).

Maji yake yanaelekea mto Nile na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]