Nenda kwa yaliyomo

Mto Nanga (Kilimanjaro)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Nanga)

Mto Nanga (Kilimanjaro) ni kati ya mito ya mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Kaskazini Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika Bahari Hindi kupitia mto Pangani.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]