Nenda kwa yaliyomo

Mto Mwimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mwimbi ni kati ya mito ya mkoa wa Rukwa (Tanzania Magharibi). Maji yake yanafikia bahari ya Atlantiki kupitia ziwa Tanganyika na mto Kongo.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]