Mto Mtimbiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Mtimbiri ni kati ya mito ya mkoa wa Ruvuma (Tanzania Kusini) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Luwegu na mto Rufiji.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]