Nenda kwa yaliyomo

Mto Mlombwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mlombwe unapatikana katika Mkoa wa Dodoma (Tanzania ya kati).

Maji ya mto huo yanaishia Bahari Hindi kupitia Ruaha Mkuu na mto Rufiji.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]