Nenda kwa yaliyomo

Mto Kawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kawa ni kati ya mito ya mkoa wa Rukwa (Tanzania Magharibi). Maji yake yanafikia bahari ya Atlantiki kupitia ziwa Tanganyika na mto Kongo.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]