26 Machi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Machi 26)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 26 Machi ni siku ya 85 ya mwaka (ya 86 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 280.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1971 - Nchi ya Bangla Desh inatangaza uhuru wake kutoka Pakistan
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1874 - Robert Frost, mshairi kutoka Marekani
- 1911 - Tennessee Williams, mwandishi kutoka Marekani
- 1911 - Bernard Katz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 1916 - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 1944 - Diana Ross, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1947 - Subhash Kak, mwanafizikia na mwandishi kutoka Uhindi
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 391 - Mtakatifu Petro wa Sebaste, askofu katika Armenia Ndogo (leo nchini Uturuki)
- 752 - Papa mteule Stefano, kabla hajawekwa wakfu
- 1827 - Ludwig van Beethoven, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1918 - César Cui, mtunzi wa opera kutoka Urusi
- 1923 - Sarah Bernhardt, mwigizaji wa tamthilia kutoka Ufaransa
- 1969 - John Kennedy Toole, mwandishi kutoka Marekani
- 1979 - Jean Stafford, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1995 - Eazy-E, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kastulo, Emanueli, Sabino na wenzao, Montani na Masima, Eutikyo, Petro wa Sebaste, Berkari, Baronsi na Desideri, Liudgeri n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |