Tennessee Williams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tennessee Williams, 1965

Thomas Lannier “Tennessee” Williams III (26 Machi 191125 Februari 1983) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mara mbili: 1948 kwa tamthiliya yake A Streetcar Named Desire, na 1983 kwa Cat on a Hot Tin Roof.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tennessee Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.