TANZAM : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:T1 road sign Mikumi TZ.jpg|right|thumb|TANZAM]]
[[File:T1 road sign Mikumi TZ.jpg|right|thumb|TANZAM]]
'''TANZAM''' ni kifupi cha kutaja barabara kuu ya '''Tanzania-Zambia-Highway''' kati ya [[Dar-es-Salaam]] ([[Tanzania]]) na [[Lusaka]] ([[Zambia]]).
'''TANZAM''' ([[kifupi]] cha '''Tanzania-Zambia-Highway''') ni [[barabara kuu]] kati ya [[Dar-es-Salaam]] ([[Tanzania]]) na [[Lusaka]] ([[Zambia]]).
==Sababu za kujengwa kwa TANZAM==
==Sababu za kujengwa kwa TANZAM==
Barabara hii ilipanushwa na kuimarishwa kama barabara ya lami kati ya 1968 hadi 1973. Kusudi lake lilikuwa kisiasa maana Zambia ilitafuta njia ya mawasiliano na bandari ya baharini bila kutegemea tena [[Afrika Kusini]]. Kihistoria usafiri wa nje na biashara ya Zambia isiyo na pwani zilitegemea njia zilizopita katika [[Msumbiji]] au [[Afrika Kusini]] na nchi zote mbili hazikuwa bado nchi huru. Msumbiji ilikuwa koloni ya [[Ureno]] na Afrika Kusini ilitawaliwa na serikali ya [[Apartheid]].
[[Barabara]] hiyo ilipanuliwa na kuimarishwa kama barabara ya [[lami]] kati ya miaka [[1968]] hadi [[1973]]. Kusudi lake lilikuwa la [[Siasa|kisiasa]] maana Zambia ilitafuta njia ya [[mawasiliano]] na [[bandari]] ya [[Bahari|baharini]] bila kutegemea tena [[Afrika Kusini]].


Kihistoria usafiri wa nje na [[biashara]] ya Zambia isiyo na [[pwani]] vilitegemea njia zilizopita katika [[Msumbiji]] au [[Afrika Kusini]] na nchi zote mbili hazikuwa bado [[nchi huru]]. Msumbiji ilikuwa [[koloni]] la [[Ureno]] na Afrika Kusini ilitawaliwa na [[serikali]] ya [[Apartheid]].
Tanzania ilivutwa na mpango huu kwa sababu ilipinga ukoloni pia ilitarajia faida za biashara na [[Zambia]], [[Malawi]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Inchi ilkuwa pia na haja ya kuboresha barabara zake na TANZAM inaunganisha pia nyanda za juu za kusini za Tanzania na Dar es Salaam.


Tanzania ilivutwa na mpango huo kwa sababu ilipinga [[ukoloni]], pia ilitarajia [[faida]] za biashara na [[Zambia]], [[Malawi]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Nchi ilikuwa pia na haja ya kuboresha barabara zake na TANZAM inaunganisha pia [[Nyanda za Juu za Kusini Tanzania|nyanda za juu za kusini]] za Tanzania na Dar es Salaam.
== Tazam nadani ya Tanzania ==
TANZAM ina urefu wa [[kilomita]] 2,400 na zote zina lami. Katika Zambia huitwa ''Great North Road'' na ndani ya Tanzania ilikuwa na namba ''T1''. Siku hizi sehemu ya Dar es Salaam - Iringa huitwa [[A7, Tanzania|A7]], na sehemu ya Iringa - Mbeya - Tunduma huitwa [[A104 , Tanzania|A104]]


== TANZAM ndani ya Tanzania ==
Inaanza mjini [[Dar es Salaam]] ikipita katika mikoa ya [[Pwani]], [[Morogoro]], [[Iringa]] na [[Mbeya]]. Kati ya Dar na Morogora njia inapita katika [[hifadhi ya Mikumi]].
TANZAM ina [[urefu]] wa [[kilomita]] 2,400 na zote zina lami. Katika Zambia huitwa ''Great North Road'' na ndani ya Tanzania ilikuwa na namba ''T1''. Siku hizi sehemu ya Dar es Salaam - [[Iringa]] huitwa [[A7, Tanzania|A7]], na sehemu ya Iringa - [[Mbeya]] - [[Tunduma]] huitwa [[A104, Tanzania|A104]]

Inaanza mjini [[Dar es Salaam]] ikipita katika [[Mikoa ya Tanzania|mikoa]] ya [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Morogoro!Morogoro]], [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[mkoa wa Mbeya|Mbeya]]. Kati ya Dar na Morogora njia inapita katika [[hifadhi ya Mikumi]].


Ndani ya Tanzania ina njiapanda 4 muhimu:
Ndani ya Tanzania ina njiapanda 4 muhimu:
*mjini [[Chalinze]] iko chanzo ya barabara kuu inayoelekea [[Tanga]] na [[Kilimanjaro]]-[[Nairobi]]
*mjini [[Chalinze]] iko chanzo ya barabara kuu inayoelekea [[Tanga]] na [[Kilimanjaro]]-[[Nairobi]]
* mjini [[Morogoro]] iko njiapanda ya [[barabara]] kwenda Dodoma inayoendelea magharibi hadi [[Mwanza]] na [[Kigoma]]
*mjini [[Morogoro]] iko njiapanda ya [[barabara]] kwenda [[Dodoma]] inayoendelea [[magharibi]] hadi [[Mwanza]] na [[Kigoma]]
*mjini [[Makambako]] kuna njiapanda ya barabara kwenda [[Songea]] inayoendelea katika hali baya hadi [[Mtwara]]
*mjini [[Makambako]] kuna njiapanda ya barabara kwenda [[Songea]] inayoendelea katika hali mbaya hadi [[Mtwara]]
* [[Uyole]]/[[Mbeya]] iko njiapanda ya barabara kwenda [[Malawi]] kupitia [[Tukuyu]].
*[[Uyole]]/[[Mbeya]] iko njiapanda ya barabara kwenda [[Malawi]] kupitia [[Tukuyu]].

Kuanzia [[Makambako]] Tanzam inaendelea mara nyingi kando la njia ya reli ya [[TAZARA]].


Kuanzia [[Makambako]] TANZAM inaendelea mara nyingi kando ya njia ya [[reli]] ya [[TAZARA]].
==Tanzam ndani ya Zambia==
Mjini [[Tunduma]] Tanzam inavuka mpaka na kuingia [[Zambia]]. Sasa ni "Great North Road" ikielekea kwenda [[Kapiri Mposhi]] kupitia [[Nakonde]] na hapa inapewa namba ''T2''. Kapiri Mposhi inajiunga na barabara kuu ya Zambia kutoka [[Lumbumbashi]] (Kongo) kwenda [[Lusaka]].


==TANZAM ndani ya Zambia==
Mjini [[Tunduma]] TANZAM inavuka mpaka na kuingia [[Zambia]]. Sasa ni "Great North Road" ikielekea [[Kapiri Mposhi]] kupitia [[Nakonde]] na huko inapewa [[namba]] ''T2''. Kapiri Mposhi inajiunga na barabara kuu ya Zambia kutoka [[Lumbumbashi]] (Kongo) kwenda [[Lusaka]].


==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==

Pitio la 07:31, 10 Juni 2020

TANZAM

TANZAM (kifupi cha Tanzania-Zambia-Highway) ni barabara kuu kati ya Dar-es-Salaam (Tanzania) na Lusaka (Zambia).

Sababu za kujengwa kwa TANZAM

Barabara hiyo ilipanuliwa na kuimarishwa kama barabara ya lami kati ya miaka 1968 hadi 1973. Kusudi lake lilikuwa la kisiasa maana Zambia ilitafuta njia ya mawasiliano na bandari ya baharini bila kutegemea tena Afrika Kusini.

Kihistoria usafiri wa nje na biashara ya Zambia isiyo na pwani vilitegemea njia zilizopita katika Msumbiji au Afrika Kusini na nchi zote mbili hazikuwa bado nchi huru. Msumbiji ilikuwa koloni la Ureno na Afrika Kusini ilitawaliwa na serikali ya Apartheid.

Tanzania ilivutwa na mpango huo kwa sababu ilipinga ukoloni, pia ilitarajia faida za biashara na Zambia, Malawi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Nchi ilikuwa pia na haja ya kuboresha barabara zake na TANZAM inaunganisha pia nyanda za juu za kusini za Tanzania na Dar es Salaam.

TANZAM ndani ya Tanzania

TANZAM ina urefu wa kilomita 2,400 na zote zina lami. Katika Zambia huitwa Great North Road na ndani ya Tanzania ilikuwa na namba T1. Siku hizi sehemu ya Dar es Salaam - Iringa huitwa A7, na sehemu ya Iringa - Mbeya - Tunduma huitwa A104

Inaanza mjini Dar es Salaam ikipita katika mikoa ya Pwani, Mkoa wa Morogoro!Morogoro, Iringa na Mbeya. Kati ya Dar na Morogora njia inapita katika hifadhi ya Mikumi.

Ndani ya Tanzania ina njiapanda 4 muhimu:

Kuanzia Makambako TANZAM inaendelea mara nyingi kando ya njia ya reli ya TAZARA.

TANZAM ndani ya Zambia

Mjini Tunduma TANZAM inavuka mpaka na kuingia Zambia. Sasa ni "Great North Road" ikielekea Kapiri Mposhi kupitia Nakonde na huko inapewa namba T2. Kapiri Mposhi inajiunga na barabara kuu ya Zambia kutoka Lumbumbashi (Kongo) kwenda Lusaka.

Viungo vya Nje