Uyole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Uyole
Kata ya Uyole is located in Tanzania
Kata ya Uyole
Kata ya Uyole
Mahali pa Uyole katika Tanzania
Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89°S 33.43°E / -8.89; 33.43
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Mjini
Idadi ya wakazi
 - 6,229

Uyole ni jina la kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,543 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53136.

Uyole iko kando la eneo la manisipaa ya Mbeya penyewe takriban 10 km kutoka kitovu cha mji mahali penye njiapanda ambako barabara kuu ya TANZAM inaachana na barabara ya kuelekea Tukuyu na Malawi.

Kuna soko kubwa ya mazao na kituo cha TAZARA.

Chuo cha Kilimo Uyole (Agricultural Research Institute -ARI- Uyole) kinafundisha wanafunzi ni kitovu cha uchunguzi wa kisayansi wa mimea ya kilimo.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania Flag of Tanzania.svg

ForestiGhanaIdudaIganjoIganzoIgawiloIlemiIlombaIsangaIsyesyeItaganoItendeIteziItijiIwambiIyelaIyungaIziwaKalobeMaangaMabatiniMaendeleoMajengoMbalizi RoadMwakibeteMwansekwaMwansangaNondeNsalagaNsohoNzovweRuanda (Mbeya)SindeSisimbaTembelaUyole


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uyole kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.