Wikipedia ya Kipoland : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 14: Mstari 14:
|}}
|}}


'''Wikipedia ya Kipoland''' ([[Kipoland]]: ''Wikipedia polskojęzyczna'') ni toleo la [[kamusi elezo]] ya [[Wikipedia]] kwa lugha ya [[Kipoland]]. Wikipedia ya Kipoland, ni toleo la tisa la Wikipedia. Ilianzishwa mnamo tar. [[26 Septemba]] katika mwaka wa [[2001]]. Na kwa mwezi wa Mei [[2008]], ilifikisha makala zaidi ya 500,000, na kuifanya iwe toleo la nne kwa ukubwa baada ya Wikipedia kwa [[Wikipedia ya Kiingereza|Kiingereza]], [[Wikipedia ya Kijerumani|Kijerumani]], na [[Wikipedia ya Kifaransa|Kifaransa]]. Hii ni toleo kubwa la Wikipedia katika orodha ya lugha za [[Lugha za Kislavoni|Kislavoni]] kwa idadi ya makala.
'''Wikipedia ya Kipoland''' ([[Kipoland]]: ''Wikipedia polskojęzyczna'') ni toleo la [[kamusi elezo]] ya [[Wikipedia]] kwa lugha ya [[Kipoland]]. Wikipedia ya Kipoland, ni toleo la tisa la Wikipedia. Ilianzishwa [[tarehe]] [[26 Septemba]] [[2001]].
Mwezi wa [[Mei]] [[2008]] ilifikisha makala zaidi ya 500,000, na kuifanya iwe toleo la nne kwa ukubwa baada ya Wikipedia kwa [[Wikipedia ya Kiingereza|Kiingereza]], [[Wikipedia ya Kijerumani|Kijerumani]], na [[Wikipedia ya Kifaransa|Kifaransa]].
Tarehe 24 Septemba 2013 ilifikia nakala 1,000,000.
Hii ni toleo kubwa la Wikipedia katika orodha ya lugha za [[Lugha za Kislavoni|Kislavoni]] kwa idadi ya makala.
== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
{{InterWiki|code=pl}}
{{InterWiki|code=pl}}

Toleo la sasa la 07:09, 7 Julai 2019

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kipoland
Logo of the Polish Wikipedia
Kisarahttp://pl.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKipoland
MmilikiWikimedia Foundation
Imeanzishwa na26 Septemba 2001

Wikipedia ya Kipoland (Kipoland: Wikipedia polskojęzyczna) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kipoland. Wikipedia ya Kipoland, ni toleo la tisa la Wikipedia. Ilianzishwa tarehe 26 Septemba 2001.

Mwezi wa Mei 2008 ilifikisha makala zaidi ya 500,000, na kuifanya iwe toleo la nne kwa ukubwa baada ya Wikipedia kwa Kiingereza, Kijerumani, na Kifaransa.

Tarehe 24 Septemba 2013 ilifikia nakala 1,000,000.

Hii ni toleo kubwa la Wikipedia katika orodha ya lugha za Kislavoni kwa idadi ya makala.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kipoland ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kipoland kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.