18 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 18)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Juni ni siku ya 169 ya mwaka (ya 170 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 196.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1517 - Ogimachi, mfalme mkuu wa Japani (1557-1586)
- 1845 - Alphonse Laveran, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1907
- 1918 - Jerome Karle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1985
- 1932 - Dudley Herschbach, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 1942 - Thabo Mbeki, Rais wa Afrika Kusini
- 1942 - Roger Ebert, mwandishi wa habari kutoka Marekani
- 1987 - Semra Kebede, mwigizaji wa filamu kutoka Ethiopia
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 561 - Mtakatifu Kalojero wa Sisilia, mmonaki na mmisionari kutoka Uturuki
- 1234 - Chukyo, mfalme mkuu wa Japani (1221)
- 1970 - Nicolaas Louw, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1971 - Paul Karrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1937
- 1974 - George Kelly, mwandishi kutoka Marekani
- 1982 - John Cheever, mwandishi kutoka Marekani
- 1998 - Joatham Mporogoma Mwijage Kamala, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 2010 - Jose Saramago, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1998
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marko na Marseliani, Leonsi wa Tarabulus, Siriaki na Paula, Amandi wa Bordeaux, Kalojero wa Sisilia, Elizabeti wa Schonau, Gregori Yohane Barbarigo n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |