Paul Karrer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Karrer

Paul Karrer (21 Aprili 188918 Juni 1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza mfumo wa vitamini mbalimbali. Mwaka wa 1937, pamoja na Norman Haworth alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Karrer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.