8 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 8)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Julai ni siku ya 189 ya mwaka (ya 190 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 176.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1894 - Pyotr Kapitsa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978
- 1895 - Igor Tamm, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
- 1908 - Nelson Rockefeller, Kaimu Rais wa Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1153 - Mwenye heri Papa Eugenio III
- 1623 - Papa Gregori XV
- 1695 - Christiaan Huygens, mwanasayansi kutoka Uholanzi
- 1950 - Siti binti Saadi, mwanamuziki kutoka Zanzibar
- 1965 - Thomas Sigismund Stribling, mwandishi kutoka Marekani
- 1979 - Shinichiro Tomonaga, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 1979 - Robert Woodward, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1965
- 2015 - James Tate, mshairi wa Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Akwila na Priska, Gliseria, Prokopi Mkuu, Pankrasi wa Taormina, Auspisi wa Toul, Disibodo, Landrada, Kiliani wa Wurzburg, Wafiadini Waabrahamu, Papa Adrian III, Yohane Wu Wenyin n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 13 Julai 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |