30 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 30)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Julai ni siku ya 211 ya mwaka (ya 212 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 154.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1869 - Mtakatifu Kristofa Magallanes, padri na mfiadini wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko
- 1911 - Czeslaw Milosz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1980
- 1945 - Patrick Modiano, mwandishi kutoka Ufaransa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2014
- 1947 - Françoise Barré-Sinoussi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2008
- 1961 - Laurence Fishburne, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1999 - Joey King, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 579 - Papa Benedikto I
- 1898 - Otto von Bismarck, Chansella wa Dola la Ujerumani (1862-1890)
- 2005 - John Garang, Rais wa kwanza wa Sudan Kusini
- 2007 - Ingmar Bergman, mwongozaji wa filamu kutoka Uswidi
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Petro Krisologo, Abdon na Senen, Julita wa Kaisarea, Masima, Donatila na Sekunda, Orso wa Auxerre, Godeleva, Yosefu Yuan Gengyin, Leopoldo Mandich n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |