Czesław Miłosz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Czeslaw Milosz)
Czeslaw Milosz, mwaka wa 1998 (picha imepigwa na Mariusz Kubik).

Czeslaw Milosz (30 Julai 191114 Agosti 2004) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Poland. Tangu mwaka wa 1951 aliishi katika nchi ya Ufaransa, na 1960 alihamia Marekani. Nje ya kutunga mashairi mengi, aliandika pia insha na kutafsiri. Mwaka wa 1969 alitolea kitabu kuhusu historia ya fasihi ya Poland. Mwaka wa 1980 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Czesław Miłosz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.