Nenda kwa yaliyomo

28 Januari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Januari 28)
Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 28 Januari ni siku ya ishirini na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 337 (338 katika miaka mirefu).

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Thoma wa Akwino, Yohane wa Reom, Yakobo mkaapweke, Juliani wa Cuenca, Agata Lin Zhao, Jeromu Lu Tingmei, Laurenti Wang Bing, Yosefu Freinademetz n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 28 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.