1 Februari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Februari 1)
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Februari ni siku ya thelathini na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 333 (334 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1905 - Emilio Segre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959
- 1927 - Galway Kinnell, mshairi kutoka Marekani
- 1931 - Boris Yeltsin, Rais wa Urusi (1991-1999)
- 1938 - Sherman Hemsley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1952 - Roger Tsien, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008
- 1976 - Giacomo Tedesco, mchezaji mpira kutoka Italia
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1650 - René Descartes, mwanafalsafa kutoka Ufaransa
- 1691 - Papa Alexander VIII
- 1958 - Clinton Davisson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
- 1976 - George Whipple, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1934)
- 1976 - Werner Heisenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Trifoni wa Frigia, Severo wa Ravenna, Paulo wa Trois-Chateaux, Brigit wa Kildare, Orso wa Aosta, Agripano, Sigebati III, Ramon wa Fitero, Yohane wa Saint-Malo, Verdiana wa Castelfiorentino, Henri Morse, Paulo Hong Yong-ju na wenzake n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 16 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |