Roger Tsien

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roger Tsien

Roger Yonchien Tsien (amezaliwa 1 Februari 1952) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za protini fulani. Mwaka wa 2008, pamoja na Osamu Shimomura na Martin Chalfie alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Tsien kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.