16 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Desemba 16)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Desemba ni siku ya 350 ya mwaka (ya 351 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 15.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1971 - Nchi ya Bangla Desh inashinda vita na kupata uhuru kutoka Pakistan
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1770 - Ludwig van Beethoven, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1850 - Hans Buchner, daktari Mjerumani
- 1863 - George Santayana, mwanafalsafa kutoka Hispania na Marekani
- 1949 - Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi, mwanasiasa wa Tanzania
- 1973 - Scott Storch, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 882 - Papa Yohane VIII
- 999 - Mtakatifu Adelaide wa Italia, malkia wa Dola Takatifu la Roma
- 1779 - Go-Momozono, Mfalme Mkuu wa 118 wa Japani (tangu 1771)
- 1889 - Abushiri ibn Salim al-Harthi, aliyeongoza vita dhidi ya ukoloni wa Ujerumani nchini Tanzania
- 1921 - Camille Saint-Saëns, mtunzi wa muziki kutoka Ufaransa
- 1989 - Lee van Cleef, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2007 - Benedict Kiroya Losurutia, mwanasiasa wa Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nabii Hagai, Mabikira Wafiadini wa Afrika Kaskazini, Beano wa Ireland, Adoni wa Vienne, Adelaide wa Italia n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |