George Santayana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George Santayana

Amezaliwa Jorge Agustín Nicolás Ruiz de Santayana y Borrás
16 Disemba 1863
Madrid, Uhispania
Amekufa 26 Septemba 1952
Rome, Italia

George Santayana (16 Desemba 186326 Septemba 1952) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi. Akiwa raia wa Hispania alilelewa na kusoma Marekani, kwa hiyo aliandika kwa lugha ya Kiingereza tu na kuangaliwa kama mwandishi Mmarekani. Anajulikana hasa kwa usemi wake "Wasiojifunza kutoka historia watairudia" (kwa Kiingereza: "Those who cannot learn from history are doomed to repeat it").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Santayana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.