Nenda kwa yaliyomo

16 Desemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka 16 Disemba)
Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 16 Desemba ni siku ya 350 ya mwaka (ya 351 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 15.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nabii Hagai, Mabikira Wafiadini wa Afrika Kaskazini, Beano wa Ireland, Everadi wa Friuli, Adoni wa Vienne, Adelaide wa Italia, Makari wa Collesano n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 16 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.