Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi (amezaliwa tar. 16 Desemba 1949) ni mbunge wa jimbo la Kasulu Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.