8 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka 8 Disemba)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Desemba ni siku ya 342 ya mwaka (ya 343 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 23.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1991 - Mwisho wa Umoja wa Kisovyeti, kuundwa kwa Jumuiya ya Nchi Huru
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1708 - Kaisari Francis I wa Ujerumani
- 1832 - Bjørnstjerne Bjørnson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1903
- 1865 - Jean Sibelius, mtunzi wa muziki kutoka Ufini
- 1940 - Fortunatus Lukanima, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1943 - Jim Morrison, mwanamuziki wa Marekani
- 1943 - James Tate, mshairi wa Marekani
- 1947 - Thomas Cech, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1989
- 2000 - Yung Trace, mwanamuziki kutoka Uingereza
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1980 - John Lennon, mwanamuziki Mwingereza aliuawa
- 1997 - Kardinali Laurean Rugambwa, askofu mkuu kutoka Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Bikira Maria Kukingiwa dhambi ya asili, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Makari wa Aleksandria, Papa Eutikiani, Eukari wa Trier, Patapi wa Thebe, Romariki, Theobadi wa Marly, Noeli Chabanel, Narsisa wa Yesu n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |