Nenda kwa yaliyomo

Theobadi wa Marly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Theobadi akitoa zawadi ya maua kwa Mt. Ludoviko IX na mke wake.

Theobadi wa Marly, O.Cist. (pia: Theobald, Thibaut, Thibault, Thiébaut; Marly-la-Ville, leo nchini Ufaransa, 1200 hivi - Vaux-de-Cernais, 8 Desemba 1247[1][2] ) alikuwa kabaila aliyejiunga na monasteri ya Wasitoo, halafu mwaka 1235 akawa abati wake hadi kifo chake[3][4] akitumikia wamonaki wake kwa kutoa mwenyewe huduma duni zaidi [5].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Klementi XI tarehe 29 Septemba 1710 [6].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Desemba[7].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Rouet, Christian (2021-11-18). "L'abbaye des Vaux-de-Cernay". Pays d'Yveline (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-03-08..
  2. "Thibaud, abbé des Vaux-de-Cernay en 1235, mort le 7 décembre 1247". Port-Royal, Cartulaire, École des chartes (kwa Kifaransa).
  3. Obrecht, Edmond (1912). Vaux-de-Cernay. The Catholic Encyclopedia. Juz. la 15. New York: Robert Appleton Company.
  4. Henneman, John Jr. Bell; Earp, Lawrence; Kibler, William W.; Zinn, Grover A. (24 Julai 1995). Medieval France: An Encyclopedia. Taylor & Francis. uk. 946. ISBN 978-0-203-34487-3.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93611
  6. "Thibaud de Marly". Biographia Cisterciensis (kwa Kijerumani).
  7. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.