Nenda kwa yaliyomo

Thomas Cech

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Cech

Thomas Robert Cech (amezaliwa 8 Desemba 1947) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za DNA. Mwaka wa 1989, pamoja na Sidney Altman alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Cech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.