Sidney Altman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sidney Altman mwaka 2012

Sidney Altman (amezaliwa 7 Mei 1939) ni mwanakemia kutoka nchi ya Kanada. Hasa alichunguza sifa za DNA. Mwaka wa 1989, pamoja na Thomas Cech alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sidney Altman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.