4 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Desemba ni siku ya 338 ya mwaka (ya 339 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 27.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1154 - Uchaguzi wa Papa Adrian IV
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1908 - Alfred Hershey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 1969 - Jay-Z, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 749 - Mtakatifu Yohane wa Damasko, mmonaki, padri na mwalimu wa Kanisa kutoka Siria
- 1334 - Papa Yohane XXII
- 1696 - Meisho, mfalme mkuu wa kike wa Japani (1629-1643)
- 1679 - Thomas Hobbes, mwanafalsafa wa Uingereza
- 1945 - Thomas Hunt Morgan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1933
- 2014 - Claudia Emerson, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane wa Damasko, Barbara wa Nikomedia, Erakla wa Aleksandria, Melesi wa Ponto, Felisi wa Bologna, Apro wa Vienne, Sigirani, Ada wa Le Mans, Sola wa Husen, Yohane Mtendamiujiza, Anoni wa Koln, Osmundi wa Salisbury, Bernadi wa Parma, Yohane Calabria n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |