Meisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Meisho (9 Januari, 16244 Desemba, 1696) alikuwa mfalme mkuu wa 109 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Okiko. Tarehe 22 Desemba, 1629 alimfuata baba yake, Go-Mizunoo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 14 Novemba, 1643. Aliyemfuata ni mdogo wake Go-Komyo.

Imperial Seal of Japan.svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Meisho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine