Waribe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waribe ni mojawapo kati ya makabila tisa (maarufu kama Mijikenda) ya pwani ya Kenya.

Waribe wanapakana na Wachonyi na lugha zao zinakaribiana kushinda Wamijikenda wengine.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waribe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.