Nenda kwa yaliyomo

Wanyore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanyore (au Wanyole; wao hujiita: Abanyole) ni kabila la watu wa jamii ya Waluhya wanaoishi magharibi mwa Kenya, katika Bunyore, kaunti ya Vihiga.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyore kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.