Wakauma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wakauma ni mojawapo kati ya makabila tisa (maarufu kama Mijikenda) ya pwani ya Kenya.

Wakauma wanapakana na Wachonyi na lugha zao zinakaribiana sana ukilinganisha na Wamijikenda wengine.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakauma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.