Nenda kwa yaliyomo

Utengenezaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mzunguko wa utengenezaji.
Finished regenerative thermal oxidizer at manufacturing plant
Assembly of Section 41 of a Boeing 787 Dreamliner
An industrial worker amidst heavy steel semi-products (KINEX BEARINGS, Bytča, Slovakia, c. 1995–2000)
A modern automobile assembly line

Utengenezaji ni uundaji wa vitu kwa kutumia kazi ya binadamu, mashine, vifaa n.k.

Unahesabika kama sekta ya pili ya uchumi.[1]

Inaweza kuitwa hivyo kazi ya fundi binafsi lakini hasa ile ya viwanda vikubwa vinavyotumia teknolojia ya kielektroni.

Orodha ya nchi 50 zenye utengenezaji mkubwa zaidi

[hariri | hariri chanzo]

Orodha hii ya Benki ya Dunia inahesabu utengenezaji kwa dolar za Marekani.[2]

NafasiNchi/EneoMilioni za dola Mwaka
 Dunia13,809,1222019
1Bendera ya Jamhuri ya Watu wa China China3,896,3452019
2Bendera ya Marekani United States2,317,1762018
3Bendera ya Japani Japan1,027,9672018
4Bendera ya Ujerumani Germany747,7312019
5Bendera ya South Korea South Korea416,9032019
6Bendera ya Uhindi India394,5312019
7Bendera ya Italia Italy298,4422019
13Bendera ya Brazil Brazil173,6682019
8Bendera ya Ufaransa France266,6342019
9Bendera ya Ufalme wa Muungano United Kingdom243,1142019
10Bendera ya Urusi Russia222,5442019
11Bendera ya Indonesia Indonesia220,5032019
12Bendera ya Mexiko Mexico217,8522019
14Bendera ya Hispania Spain154,8332019
15Bendera ya Kanada Canada151,7242016
16Bendera ya Uturuki Turkey143,0172019
17Bendera ya Uthai Thailand137,5442019
18Bendera ya Uswisi Switzerland131,7182019
19Bendera ya Eire Ireland119,8682019
20Bendera ya Poland Polandi100,0112019
21Bendera ya Uholanzi Netherlands99,6482019
22Bendera ya Saudi Arabia Saudi Arabia99,4382019
23Bendera ya Australia Australia78,6572019
24Bendera ya Malaysia Malaysia78,2792019
25Bendera ya Austria Austria74,7102019
26Bendera ya Singapuri Singapore73,6772019
27Bendera ya Philippines Philippines69,5682019
28Bendera ya Uswidi Sweden69,2622019
29Bendera ya Ubelgiji Belgium63,5692019
30Bendera ya Venezuela Venezuela58,2362014
31Bendera ya Argentina Argentina57,7262019
32Bendera ya Bangladesh Bangladesh57,2842019
33Bendera ya Ucheki Czech Republic55,2702019
34Bendera ya Uajemi Iran53,4172017
35Bendera ya Nigeria Nigeria51,6342019
36Bendera ya Misri Egypt48,2412019
37Template loop detected: Kigezo:Flag47,8342018
38Bendera ya Denmark Denmark45,5072019
39Bendera ya Israel Israeli44,3142018
40Bendera ya Vietnam Vietnam43,1722019
41Bendera ya Romania Romania42,4532019
42Bendera ya Afrika Kusini South Africa41,4002019
43Bendera ya Aljeria Algeria41,2782019
44Bendera ya Ufini Finland38,6702019
45Bendera ya Falme za Kiarabu United Arab Emirates36,7272019
46Bendera ya Kolombia Colombia35,4392019
47Bendera ya Pakistan Pakistan34,6582019
48Bendera ya Omani Oman30,2832018
49Bendera ya Hungaria Hungary29,3492019
50Bendera ya Peru Peru28,7332018
  1. Kenton, Will. "Manufacturing". Investopedia (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-01-16.
  2. "Manufacturing, value added (current US$) | Data". data.worldbank.org (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-11-11.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utengenezaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.